I am sure you know thatβs a rhetorical questionβ¦ suit yourself kilaza β¦πHujajibu, kwahio umeisaliti republic of kenyata
Is this the latest insider info you have mr. Nyamwezi?not much, huyo ni one to one not a whole club comming πππ and infact that makes more sense than playing bayern u20 πππ no big names just the u20 for both ajax and bayern πππππππ
kwaku uliumbwa uje uue watu bila hatia au ndivo ulidanganywa ??? siku zote msemo wakusema anaeua kwa upamba atakufa kwa upanga, hakuna haki ya mtu itaondoka bure juu ya uso wa duniaMungu ahukumu kama hivyo mnavyotueleza mzee, hilo ni dua la kuku..
na wa tanzania ni wakufurahisha? ikiwa tumeshika number sita kwa umaskini duniani nao ni wakufurahisha? mzee umekuajeIndia kuna umaskini wa kutisha, huu wa Kenya unasubiri sana.
Kaka wewe upo nje, habari nyingi unazipata kwa kusikia tu, mimi nipo Dar na hiyo siku wanafanya huo uhalifu mimi nilikua nimetoka nilishuhudia ninayoyaeleza hapa, na picha ninazo nilizopiga mwenyewe kwa mkono wangu..
Hatufai kuilamu serikali katika hili kabisa, watu walio nyuma ya hili wapo wazi, wanyoosheeni wao vidole, msimuangushie jumba bovu samia eti kwasababu hamumuelewi/ hamumpendi..
Hata mimi simkubali lakini tujifunze kusema vya kweli sio kuongea uongo tu kwa kumkandamiza mtu. Walioingia road tuliwashudia kwamba walikua ni akina nani.. Dar ilifurika watu wa mikoani siku zile, mazuzu mengi yaliokotwa kutoka Mbeya na kaskazini huko ( kimsingi vilaza wengi wa kufuata mikumbo wako huko kwa hii Tz ndio mana hata wale wachungaji wengi wezi wanatokea maeneo haya).
Hii vipi. πππna wa tanzania ni wakufurahisha? ikiwa tumeshika number sita kwa umaskini duniani nao ni wakufurahisha? mzee umekuaje
Thatβs an ugly bus!asanteni banbross kenya kwa kutuundia gari la TBC la matangazo mukiweza kutengezea na toothpick mutuletee plz π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 3701336View attachment 3701337View attachment 3701338
Utambuzi hautaki emotions.Nimemuweka ignore list wala sijamjibu.
Kenyan judiciary has its own negative issues but one good thing is its independence from other 2 government branches ( Executive and Legislature)hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee
hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana ππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4
View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==
View attachment 3701606
Though itβs definitely good for democracy , the independence of Kenyan judiciary has been detrimental to development projects crucial for the nation since any Tom, Dick or Harry can file a petition for corrupt interests and stop construction. It happens daily and it has delayed or cancelled many projects of national importance. Any project in Kenya you know of has gotten its share of court cases . The government is always fighting in court. Hata the new 60 story NSSF tower was delayed by a court case. Too much democracy ππ―hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee
hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana ππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4
View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==
View attachment 3701606
Any Kenyan government administration is always fighting in court against Law society of Kenya, Kenya human rights commission and thousands of legal activists who will find anything to sue the government.hii ndio maana halisi ya mahakama kua huru haya mambo huwezi yakuta africa nzima zaidi ya kenya pekee
hongereni wakenya hakika elimu imewasaidia sana ππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DfHnEHBDBTi/?srtk=OGt0YWpwdzQ4ZnB4
View: https://www.instagram.com/p/DfHfOg6jeGJ/?srtk=MWgyenZ4Z3F1bDVlNA==
View attachment 3701606
America kwake ni peponi,umuambii kitu yule zobaanaipenda kichz hio village ππ humwambii kitu pale
Unapendanga vumbi, vipi leo umekosa kuona