Kila daktari?! Kwamba wewe umeuliza madaktari wote Tanzania nzima? Hizo labda dispensary za vichochoroni.kila daktari ukimuuliza kuhusu dawa nzuri ya homa kwa watoto wanakutajia calpol leo nikataka kujua inatoka nchi gani mbona inasifika nikakuta ni kenya ππππ»ππ»ππ»
View attachment 3701717View attachment 3701718
ni zaidi ya hospital tatu ambazo nimekutana na madaktari kila wakiandika lazima waandike calpol sasa leo nilipokua nanunua nikaangalia made ni wap nikakuta kenyaKila daktari?! Kwamba wewe umeuliza madaktari wote Tanzania nzima? Hizo labda dispensary za vichochoroni.
cheki infrastructure hii ya wenzetuangalia infastructure za wenzetu pamoja na nchi yao kusuasua kiuchumi have a look kwenye infastructure ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
View: https://www.instagram.com/reel/DdoV1oog0MB/?dlrf=MW1nYnc0dnd5a3V4Mw==