Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We Rudi tu kupiga likes, serikali ya Kenya imekua na inland depot Nairobi na Naivasha tangu reli izinduliwe, private sector ndo imeingia juzi through CMA CGM after success ya inland container Depot ya Kenya railways.

Faka naingelea inland discharge hapo. Sio ishu ya kuwa na Bandari kavu upcountry.

Unaelewa multimodal logistics vile inafanya kazi? Hapo freight costs inakuwa integrated na Rails transport up to inland ICD. Hapo kwenyu discharge point ni mombasa au lamu then ndio transfer of container inafanyika kwenye ICD... Hopefully umepata kitu hapo.
 

Haina haja ya ku quote mara mbili mbili .... Mwenyewe niliemuuliza swali amekimbia..

Sasa kwa hiyo free AI Yako... Compare kati ya calpol na Termidol kwenye ingredients ya dawa, concentration and clinical effectiveness katika kutibu homa.

Ukipata majibu usione haya kuweka hapa.
 
* long post....Before and Since the conclusion of genz protests I've never been a fun of president Ruto, not that I am now, nor am i his hater, but you have to give the man his flowers ...bro anacheza world powers like pawns in a chess game( who bythaway are bitter rivals), when it comes to diplomacy and PR the man is right now at his climax ... he has positioned kenya as a major player in the geo political arena and the world map, which comes with a lot of benefits to the country by itself ...
Diplomatic U.S.A -Kenya relations🇺🇸🇰🇪🤝...Diplomatic China-Kenya relations🇨🇳🇰🇪🤝Diplomatic Russia-Kenyarelations🇰🇪🇷🇺🤝Diplomatic Kenya-Ukraine relations🇰🇪🇺🇦🤝..Diplomatic Kenya-France relations🇰🇪🇲🇫🤝Diplomatic Kenya-Uk relations🇰🇪🇬🇧🤝Kenya-Italy relations🇰🇪🇮🇹🤝Diplomatic Kenya-Israel relations 🇰🇪🇮🇱🤝Kenya-Iran relations🇰🇪🇮🇷🤝The G7🤝...kumbuka this guys wamedharau Africans sana so how Ruto managed to position Kenya to such a position as an important player with little resources with a small economy compared to global economic powerhouses remains a mystery to me 🙌🙌 ...
 
Sasa kwa hiyo free AI Yako... Compare kati ya calpol na Termidol kwenye ingredients ya dawa, concentration and clinical effectiveness katika kutibu homa.

Ukipata majibu usione haya kuweka hapa.
So ukiambiwa ukweli unasema mtu ametumia AI? I did Biochemistry so you can't tell me anything about madawa, I'm also an analyst which involves analysing the effectiveness of pharmaceuticals drugs.

You can't tell me to compare clinical effectiveness of Calpol and Termidol when Termidol itself doesn't even have a clinical study.

Kama iko nayo I dare you to post it here.
 
Not as dense as Kariakoo. Few buildings here and there!
 

View: https://x.com/rodgers_adai/status/211645=0aO-ZGL5Lmh6kv_vD6A&s=19hizo picha ulizopost zinasaidia nini kuondoa slums huko ukunyan?
 

Nimekwambia clinical effectiveness, concentration na ingredients ya hizo dawa mbili hapo uweke hapa.

Maneno mengi ya nini?
 
Nimekwambia clinical effectiveness, concentration na ingredients ya hizo dawa mbili hapo uweke hapa.

Maneno mengi ya nini?
So kupata clinical studies imekushinda? Naezakuletea ya Calpol but I'm 100% sure huwezinionyesha ya Termidol .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…