Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo leo Kibera imepunguza idadi ya watu kutoka 2.5 million hadi 650k? 🤣🤣🤣🤣

Desperate Nyamwezis
sasa unaniuliza mm kwan ndo nmepost izo stats 😂 😂 cha muhimu inaongoza afrika nzima na duniani
 
important player 😂 😂 😂 😂
 
umesema impotent player ama important?

View: https://x.com/Kenyans/status/2116478619476508789?a=OGCPq8nbF48TAPGBUdA&s=20
 
🤣🤣🤣🤣kama mitoto sasa wengine humo wanavisukari si ndo kuuwana huko
Huwa najiuliza hivi Putin anaweza kuwaita viongozi wa North America, Ulaya au Asia halafu akawapangisha mstari na kuanza kuwapa ice cream 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…