mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,693
- 7,052
wala huyu jamaa ili ujue kama ni smart inafaa utulize kichwa ni mjanja sana huyu jamaaHuyu ni smart katika kutembeza bakuli .
Why would I be scared. Any good political analyst knows Ethiopia is arming herself due to a potential Nile conflict. The building of the mighty GERD dam along Blue Nile and a proposal for another one has rattled Egypt which has threatened military action. Ethiopia has no chance against Egyptian forces but they are enhancing their capabilities one step at a time .. ( interesting that Russia also arms Egypt to a lesser degree than the US but it also shows the influence of super powers ). Now go figure ….😜
Huyo kijana atakuja pata heart attack juu ya Kenya.ishia huko endelea kupromote chuki zako, only thing you excel at 🤣🤣
View: https://x.com/atkinson_eng/status/2115921234718543911?s=46
View: https://x.com/atkinson_eng/status/2116028608687026373?s=46
Source kutoka kunyaland,TZ hakunaga ujinga wa hivyo,tunapenda soka letu than european teamsNilijua watajaribu to copy Kenya😂😂🤣🤣
Unfortunately this won't happen.
View: https://x.com/K24Tv/status/2116513256202506332?a=HoJB9o8IqCBVxbPGhDc&s=19
Welcome back Instanbul. (Istanbul)Mkuu hapa umezingua kichizi.
Kimsingi ukatubu.
Niliacha kuchangia huu Uzi.
Lakin comment yako imekushusha vyeo vyote.
Hakuna justification ya kuua kwa kilichotendeka mwaka Jana.
Week iliyopita tumeona hapo France, watu walivyofanya uharibifu. Lakin serikali ilikamata tu vijana na kuwafunga.
Mwaka Jana wangefanya the same. Sio kuua vijana tu hovyo hovyo.
Ili ni Doa kwa CCM. Na wasipokuwa makini. Litawaangusha wote.
Nina uhakika. Watasalitiana. Damu ni Kali sana na inalia vibaya mno