kijana wa bakery ππ
Tunasumbuliwa na wapishi kaka. Kapewa mchongo na jamaa zake kwenye kampuni ya Camel concrete ltd sasa hivi anatunyea. Arudi kupika urojo mtaani.kijana wa bakery ππ
itakua alikua hapiki vizuri wakampunguzia salary πTunasumbuliwa na wapishi kaka. Kapewa mchongo na jamaa zake kwenye kampuni ya Camel concrete ltd sasa hivi anatunyea. Arudi kupika urojo mtaani.
Siku kukitokea earthquake Nairobi kutakuwa balaa!