Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unataka kutuambia kwamba generic medicine is more effective than original ones? Hivi, mbona minyamwezi mnapenda ubishi hivi?

Mbona hautaki kuweka ingredients zake ili tuonee kama ni generic medicine?
 
Muhindi amefinywa na uhamiaji kwasasa ana hasira na Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no wonder wanakataaga kugawa uraia hovyo kama karanga.. kumbe wakifinywa mapumbu wanaonyesha rangi zao.
Imagine mwanaume unaenda supermarket kupiga picha bidhaa halafu unachagua za nchi fulani ilia agenda yako itimie. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Very stupid person. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kapishana mawazo kidogo tu na watu tayari yupo supermarket kuchukua bidhaa za kenya na kuzipiga picha. Wangemfinya vizuri nadhani angeshirikiana kuichoma nchi akimbie zake kwao.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sasa naelewa kwanini wanawanyimaga uraia pacha.
 
Unilever oyeeeee
 
Muhindi amefinywa na uhamiaji kwasasa ana hasira na Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no wonder wanakataaga kugawa uraia hovyo kama karanga.. kumbe wakifinywa mapumbu wanaonyesha rangi zao.
hapa ndio umejibu hoja sasa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Imagine mwanaume unaenda supermarket kupiga picha bidhaa halafu unachagua za nchi fulani ilia agenda yako itimie. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
nakuonesha kua hawa unaoshindana nao hao wakenya ikiwa
kwenye supermarket zetu kuna zaidi ya asilimia 35 bidhaa zao kwenye supermarket zetu wakat Huwez pata bidhaa yoyote inatoka tanzania kwenye supermarket zao na hapo sikupata muda wakuzunguka ila bado kuna bidhaa nyingi sana ikiwemo
pampers na bidhaa nyingi sana
 
hapa ndio umejibu hoja???πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ»
 
Kwamba biadhaa za Tanzania hazipo?
Mbona husemi bidhaa za Tanzania zimejaa Mombasa?
Mbona husemi sabuni za kufulia kutoka Tanzania zinafanya vizuri kenya?
Halafu mbona asilimia kubwa za hizo bidhaa ni za Unilever! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nitajie hio bidha utaikuta kwao moja tu nitajie inayotoka tanzania 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba biadhaa za Tanzania hazipo?
Mbona husemi bidhaa za Tanzania zimejaa Mombasa?
Mbona husemi sabuni za kufulia kutoka Tanzania zinafanya vizuri kenya?
Halafu mbona asilimia kubwa za hizo bidhaa ni za Unilever! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na kimsingi, bidhaa nyingi za Unilever ni either zimetoka south Africa au zimetoka China. Huko ndio asilimia kubwa ya mzigo unatoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…