Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwasababu umesema sina akili
wacha nikujibu mara nyingi hao watu ni wale wanaishi mipakani kuna uhuru wa biashara au ujirani mwema ndio wanavuka huku wananunua bidhaa na wa huku hvo hvo ila hio hukuti kwenye supermarket za kenya nakwambia, ww utanifundisha nn mm mzee? mm nimetemebea kila kona ya kenya utanifundisha nn mimi??
 
Yah akili huna,
So zimeandikwa bei za ksh ili ziuzwe Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…