babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Naona na hii supermarket ipo mpakani wanavuka ujirani mwema.kwasababu umesema sina akili
wacha nikujibu mara nyingi hao watu ni wale wanaishi mipakani kuna uhuru wa biashara au ujirani mwema ndio wanavuka huku wananunua bidhaa na wa huku hvo hvo ila hio hukuti kwenye supermarket za kenya nakwambia, ww utanifundisha nn mm mzee? mm nimetemebea kila kona ya kenya utanifundisha nn mimi??
Naona hadi supermarket za Uganda.kwasababu umesema sina akili
wacha nikujibu mara nyingi hao watu ni wale wanaishi mipakani kuna uhuru wa biashara au ujirani mwema ndio wanavuka huku wananunua bidhaa na wa huku hvo hvo ila hio hukuti kwenye supermarket za kenya nakwambia, ww utanifundisha nn mm mzee? mm nimetemebea kila kona ya kenya utanifundisha nn mimi??
mm nikajua kenya 😂😂😂😂😂😂Naona hadi supermarket za Uganda.
View attachment 3703078
Endelea kuchagua quote za kureply.mm nikajua kenya 😂😂😂😂😂😂
sasa hzo bidhaa za kenya kwneye
supernarket za uganda ni kama 60%
Naona na hii supermarket ipo mpakani wanavuka ujirani mwema.
View attachment 3703074
kwani ww unahisi mipakani hakuna supermarket ? bro ww mbona unakua kama mtoto wa miaka miwili 😂😂😂😂Naona na hii supermarket ipo mpakani wanavuka ujirani mwema.
View attachment 3703074
Una uwezo mdogo wa kufikiri.kwani ww unahisi mipakani hakuna supermarket ? bro ww mbona unakua kama mtoto wa miaka miwili 😂😂😂😂
nimekambia mpakani unakuta bidhaa za tanzania kenya na za kenya tanzania kwasbababu ya biashara huruYah akili huna,
So zimeandikwa bei za ksh ili ziuzwe Tanzania?
View attachment 3703065View attachment 3703063
Kwanini wameandika bei in Ksh?nimekambia mpakani unakuta bidhaa za tanzania kenya na za kenya tanzania kwasbababu ya biashara huru
au nabishana na mtu hujawah kufika kwenye mipaka?😂😂😂😂
so hii ndio kumaanisha iko kwenye branch zote 😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Una uwezo mdogo wa kufikiri.
Hiyo supermarket hii hapa na branches zake hizi hapa.
View attachment 3703102
amini unachoona ww sawa asante ila mm huna cha kunidanganya kwenye hizi nchi mbiliKwanini wameandika bei in Ksh?
Wewe huna akili ndio maana unaleta ubishi wa kijinga.
Wewe hauna akili.so hii ndio kumaanisha iko kwenye branch zote 😂😂😂😂😂😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
amini unachoona ww sawa asante ila mm huna cha kunidanganya kwenye hizi nchi mbili
Museveni and abbiy back in 2017.Tuambieni huko North Raisi wa nchi gani ukiondoa Kenya ameshawahi kupanda SGR ya gari moshi asafiri kwa masaa 5 mpaka 6 kati ya Nairobi na Mombasa?
https://www.facebook.com/
View: https://web.facebook.com/share/v/1EExB41m4U/
Smart kwenye nini? Kulambishwa ice cream?huyu jamaa smart sana 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View: https://www.instagram.com/p/DfHmMcUFBI8/?img_index=4&psln=MXNjdXpsbDNnNWU1dg==
Elewa Swali Naipori mpaka mombasa na ulete evidence hapa hatutaki maneno mingi.Museveni and abbiy back in 2017.
Mko nyuma na 9yrs,
Aibu.
By then ulikuwa class 4.
Funny how I always assumed that every country manufactures their own products or at least majority of it, kumbe that’s not the case… what do they manufacture in the industrial area of Daresaalam then?munahangaika na mimi badala kuhangaika na mambo kama haya ya muhimu 👇🏻👇🏻👇🏻
imagine hapa nimepita juu juu tu hzi ni bidhaa zinazotoka kenya ziko kwenye supermarket zetu alaf tuko hapa tunashindana na hawa jamaa wenye GDP ya over 151b usd
alaf bado munahangaika na mm badala kuongelea hali halisi ya nchi, mtu akihoji mjibuni kwa hoja sio matusi.
View attachment 3702777View attachment 3702778View attachment 3702779View attachment 3702780View attachment 3702782View attachment 3702783View attachment 3702786View attachment 3702793View attachment 3702795View attachment 3702797View attachment 3702798View attachment 3702799View attachment 3702800View attachment 3702801View attachment 3702803View attachment 3702804View attachment 3702805View attachment 3702806View attachment 3702808View attachment 3702809
Yani haikupita hata miaka 2 kampuni chali dah. Huku bongo sisi tunapiga pesa ndefu sana na transportation mzigo wa Dar mpaka Lumbumbashi mtu unachukua $12,000 na bado unarudi na Copper kwa $5,000.
Unamsikiliza na kumuamini huyo?Funny how I always assumed that every country manufactures their own products or at least majority of it, kumbe that’s not the case… what do they manufacture in the industrial area of Daresaalam then?
Hii ni gani sijacheki, is this a product of tanzania? Does it work well? Why so cheap? Do you guys use this in Tanzania ama?