ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,170
- 3,388
Huyu bwana kila kitu cha Tanzania anakipinga iwe siasa,bidhaa hata maendeleo sasa hii ni chuki binafsiWhitedent is Tanzanan brand wewe ponjoro!
View: https://www.instagram.com/reel/DWBIEpEAPwL/?obrf=MXE4bnFuZnhwOG93Zw==
Hii ndio diplomasia ya uchumi mnakaa pande husika mnajadiliana sio Rais wa jirani katika majukwaa ya raia tunaunganisha reli ya Voi na Tanzania πππ acheni kukurupuka
Hatukumchagua sisi kuwa waziri mkuu ameteuliwa tuusi yale yale unless useme mwigulu sio kiongozi wa juu top 3 tanzania π
hata mswaki hauvunjikiJongoo hata likianguka havunjiki mtu mguu.
nani uyu mwingine kaongeza iriza