Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanakushangaa mbona ghafla? Yaani umeibuka from nowhere unaanza kuponda mambo uliyokuwa unayasifia na kupambania. Complete u-turn.
 
Kwamba Wakenya sio wajinga, ni wao wali design air suspension za hio gari?
kitendo cha ku design body, ku assemble chasis na engine na kuweka kila kitu kwenye mifumo yake sio jambo la kubeza bro

wakat mwengine wape maua yao tu
 
kitendo cha ku design body, ku assemble chasis na engine na kuweka kila kitu kwenye mifumo yake sio jambo la kubeza bro

wakat mwengine wape maua yao tu
Hakuna anaebeza ila there is nothing special. Tabata pale kuna local fundis wanaweka hizo air suspension kwenye trucks.
Wanaongeza axle kwenye trucks. Mafundi tu wa kawaida
 
Wanakushangaa mbona ghafla? Yaani umeibuka from nowhere unaanza kuponda mambo uliyokuwa unayasifia na kupambania. Complete u-turn.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm kua chawa hio ndio kazi siwezi bro nikae kabisa nageuza uongo kua ukweli no way hio dhambi siifanyi kuna dhambi mtu unaeza ziepuka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm kua chawa hio ndio kazi siwezi bro nikae kabisa nageuza uongo kua ukweli no way hio dhambi siifanyi kuna dhambi mtu unaeza ziepuka
Kutokuwa chawa ni kuhamia kambi ingine? Kwahio zamani ulikuwa chawa? Maanake hukuwa na msimamo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…