Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutokuwa chawa ni kuhamia kambi ingine? Kwahio zamani ulikuwa chawa? Maanake hukuwa na msimamo huu.
kutokua chawa ni kukaa pembeni na kuongea ukweli ambao machawa hawawez kuongea, wao kazi yao ni kupamba uongo uonekane ukweli yani kwa lugha fupi chawa ni mtu muongo ambae yeye hata akiuliwa mtu kwasababu anajua anafungu lake atasema huyo hajauliwa ila kafa kawaida
 
Sio chochote special. Ni kama yale malori assembled kule Kigamboni kuna u special gani?
aseembling ni kitu kunakuja na manual yake ww unafuata kitabu chake ile wale wana design bro kabisa alaf sioni production ya hicho kiwanda naona howo zinaingi tu kutoka china vipi kimefkia wapi so far sikiskii kabisa au nduo nguvu za soda zimeisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ndio diplomasia ya uchumi mnakaa pande husika mnajadiliana sio Rais wa jirani katika majukwaa ya raia tunaunganisha reli ya Voi na Tanzania πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† acheni kukurupuka
Hakuna railway itakayounganishwa na nyang'au,amini hivyo mkuu,kijiografi hatuna umuhimu wa kuunga reli na hizo chokoraa
 
Tunajua picha hizi zinakuogopesha - Unajifariji

View attachment 3703863
🀣🀣🀣 kwanza nikuulize hamna Rambo mwingine wakupiga picha za propaganda , ni huyu tu
Tunajua picha hizi zinakuogopesha - Unajifariji

View attachment 3703863
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚Sii muwatumie waigizaji wengine basi ndio niogope zaidi...ni hawa Rambo wawili tu all the time...
🀣🀣πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Where you are, the shit is hitting the anus.
 
Mskien
Ninakusamehe kwasababu wewe ni Ignorant
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚Mskieni huyu president of tandale from the 80's,... your circus zoo army is trying so hard to flex with common stants and acrobatics, the kind off which are used to entertain watoto wa babyclass na pre unit...acrobatics za ma homless wa barabara ndio mnajaribu kutishia nayo watu hapa!?πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚...while you continue entertaining us,the real men wako ground determined to serve, defend and protect the nation K.D.FπŸ‡°πŸ‡ͺ
 
 
Nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…