Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara zinajengwa
Mpaka sasa nenda Mataa pale Tazara wapo busy.
Reli ipi unazungumzia !!
Nairobi wana Reli ya mkoloni ambaya hata Dar ipo
Japo wapo kwenye kakipisi ka SGR ka Mombasa to Nairibi
Bado haija fanya kazi kuizungumzia hiyo!!
Hata sisi tenda lipo hewani
Na wakandarasi tayari wamesha jitokeza
Tunaanza na Dar to Moro mwaka huu.

Hakuna kipya Nairobi Dar hakuna kwa sasa
 
Wao wanasifia vile vi Matatu!!
Full mipicha uchafu tu
Dar yale yalisha pitwa na wakati kabisa.

Watu wamekalia historia basi
Hawataki kutembea na kujionea wenyewe.

Nairobi haina kipya tena
 
Funny, very funny..... AL only compare dar with mombasa... Thats y unaona most Kenyans are not contributing to this silly thread

Wanapigwa ndukii wanaanza ooh Nairobi haina Master plan oooh Blah blah blah!!!...... Nimecheka yangu yote.... Kwanza hatujaanza kuweka the web of highways in Nairobi.... Inferiority complex at its best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…