Battle: Dar es Salaam vs Nairobi









HAHA








LOL




https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/10/120072_dd0d2fb47f9e784680a55d17f6417907.jpg
Hii mnaijua ?? 😀😀 Hii kazi yake nikutungua UAV, Ndege na Helcopter. Hiyo gari ya nyuma ina rada na laser zakunasa nakutuma missel😀 Hiyô inatungua vindege vyote mkivileta huku😀😀
😀😀
 
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2016/09/117855_6e71e380137701568872faeb3849a15a.jpeg

JEEPS AND HUMVEES






 
heheh unatuonesha mpaka helicopter za russia au nikuoneshe ushahidi???
View attachment 758111
Wako desperate hawa jamaa, hizo helicopter kubwa za Russia wanatoa very far ili tusione details, hizo hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye hizo Helcopters, si Egypt wala South Africa. Ninyi zakwenu ni hizo F-5, Second generation very much outdated fighter jets, na hivyo vi helcopter kama popo bawa vinaweza kuangushwa hata kwa mshale pekee.
 
NIGGA UNDERSTANF THE CONCEPT...nakuonyesha a clear picture then i show you the real Kenyan Aircraft,
its not easy to get a clear picture of kenyan military aircraft
nikuoneshe ushahidi kua hio helicopter ni ya russia wewe jibu basi😱😀😀😀😀
umeona hio alama😛😛😛😛 bahat nzuri umekuja kwenye fani yangu usitegemee kutudanganya
ukiskia red army ndio hio sasa
 
Adui kashambuliwa vizuri sana ahsanteni sana. Akiludi ni mashambulizi tena.😀😀 Kwa sasa tunampiga kipigo cha mbwa mwizi😀😀
 
27th April: J. Cole in Nigeria
28th Apriil: Rick Ross in Kenya
30th April: Chance The Rapper in South Africa
26th May: Cassper Nyovest in Kenya

Tanzania???????? 😀 😀 😀
 
27th April: J. Cole in Nigeria
28th Apriil: Rick Ross in Kenya
30th April: Chance The Rapper in South Africa
26th May: Casper Nyovest in Kenya

Tanzania???????? 😀 😀 😀
Huyo Gasper Nyovest siyuko na collabo na Diamond. Kwa sasa tunajenga nchi.
Hatutaki huwo ujinga wa enzi za Kikwete.
Huku wanakuja kutalii, Serengeti na Ngôrongoro.
Hatu wapi pesa bali wanaacha pesa.
 
Huyo Gasper Nyovest siyuko na collabo na Diamond. Kwa sasa tunajenga nchi.
Hatutaki huwo ujinga wa enzi za Kikwete.
Huku wanakuja kutalii, Serengeti na Ngôrongoro.
Hatu wapi pesa bali wanaacha pesa.
sasa hivi tunafanya kitu k8nachoitwa made in Tanzania hawajui kama show zetu sasa hivi hatuwaiti wasanii kutoka nnje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…