Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
nimecheka sanaπππHadi gari anazo kodi unaweka humuππ
utasema gari yake hioππππ
mwenzako jana alikuja na mapepe na Comedians. alipoletewa Comedians wa Kenya akaanza kutapatapa kama kuku imekatwa shingo. pitia kurasa za nyuma umwone vile alivyopotezeaMariga ana nyimbo gani au movie gani ?? ππ
bwege wewe unaonesha magari mengine picha ya gari tu nani ataamini ni lakwake???UKO SURE ANAKODIππ Watu wako na magari na manyumba in and outside kenya...ako na nyumba switzerland na magari huko
Wanatuletea zile wanazo tumia kufanyia shootingππutasema gari yake hioππππ
Yezzir! Ulitaka iwe na numberplate ya Kenya wakati anaishi Spain?utasema gari yake hioππππ
mbona umesahau hizi johvic wanyama's bro
uhahaha wewe usilete ufala weka ya kenya kwan umeona tumepost magari ya samatta ya belgium humu unaleta ujinga hapaππππYezzir! Ulitaka iwe na numberplate ya Kenya wakati anaishi Spain?
hatutaki danganya toto usituekee picha tu haina hata utambulisho kua ni ya mtu ππππhahahaha.... walalas washanza kulia.
naona unalia sana!!!!hatutaki danganya toto usituekee picha tu haina hata utambulisho kua ni ya mtu ππππ
nilie nn unatuletea danganya toto hapa mkizidiwa tu munaanza leta danganya totoππππnaona unalia sana!!!!
pole bruh!