NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,361
- 19,764
Ukihamia Mombasa tutaharibu uzi na hotel za Zanzibar,kisha mtaenda kulala.Kama nairobi inawapachika mimba ivi je mombasaπππ
Best Western CBD Hotel Dar Es Salaam
zanzibar watakojoa wima nakwambiaπππUkihamia Mombasa tutaharibu uzi na hotel za Zanzibar,kisha mtaenda kulala.
Hadi inatia aibuhJangwani Seabreeze Resort Dar Es Salaam
Eron portico nairobiππππJangwani Seabreeze Resort Dar Es Salaam
unajua nimegundua huyu jamaa analeta hotel mpaka za kwenye national park sijui ushaona hilo??πππMimi nilishaidharau muda tu Nairobi. Hakuna kitu huko. Nilitegemea utaleta vitu vya maana nimeona unatuchafulia tu thread.
Wacha kutuekea dormitories bana boma hotel south csouth beach hotel dar es salaam
View attachment 782761 View attachment 782762 View attachment 782763
Huyu jamaa hana lolote. Tukitaka kuleta za kwenye national park si atakimbia humu. Dar inapambana na Kenya nzima. Hahahahaunajua nimegundua huyu jamaa analeta hotel mpaka za kwenye national park sijui ushaona hilo??πππ
tatizo hauijui dar......na ushukuru sana hatuna wingi wa picha za aerial view za makazi ....Yani umeangilia Dar nzima ukaona hii ndio estate ya maana unaweza leta. Halafu, mbona ni estate moja tu umeleta? Dar kuna tu hiyo kijichi (kijiji)? Ndugu, tukubaliane tu kwamba Nairobi could be having some of the worst slums but it has better and organized estates than you would find anywhere in Dar. Mitaa za Nairobi ni bora tena yako organized kushinda za Dar. Kataa tu lakini huo ndo ukweli