hii ni jangwani lakini nyumba zote hapo zimebomolewa na ukitaka nakuletea ushahidi sasa hvi70% ndani ya slum? Na bado wanakataa hapa sio Dar?πππ
hehehhe mlimani hio kaka ππππHahaa huu mji sio aisee.unajua sijatembe hiyo mitaa muda sana!!!
huna link huna cha kunielezaπππ
akikuonesha link we nitag tuπππUngetoa link tu,akajisomee mwwnyewe.
Tunataka kujua hiyo ripoti imeandaliwa wapi,na ina muda gani.
Hapo walipita kimya kimyaHapa umewamada buda.... Haha. Kwanza ya juu hiyo
mwambie alete link asiwe muoga au msaidie wewe kuleta link alaf uone kitakachofuataππππHapo walipita kimya kimya