Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

...
 
Alafu cha muhimu ujue density hautushtui sisi kama waKenya. Hizo minara zenu hazina biashara. Hamna watu wa kuzikomboa. Minara ya glesi ya kufurahisha mTZ ati anaendelea. Kuendelea mkienda wapi nyinyi LDC?

PAMBANENI NA HALI YENU!!
LDC
 
...
 
TUUSAN kubali hii maneno tusonge mbele! TUUSAN nadhani wewe unakaa mtu mwenye Kuwa na busara. TUUSAN kubali na tuendelee na maisha zetu. TUUSAN Dar mko chini
TUUSAN alishakubali hii maneno.

Ndugu, Mkubali tusonge mbele
 
...
 
FACTS tuu
 
ICHOBOY amekubaliana na mimi huu mjadala Dar mmeshindwa! TUUSAN mkuu amekubaliana na mimi eti somehow NBO imeizidi Dar. Mimi pia nimekubaliana na mimi NBO jiji kuu

Admin! mjadala KWISHA!
Ata Simba wa tanzaGIZA ICHOBOY kakubaliana eventually. Umebakia tuu admin ku MUTE thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…