Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

STALE NEWS!

Habari za karne iliyopita.................hata hivyo endelea kubandika mwana!
Leta sasa sehemu za kula bata. Mbona maneno maneno kama unakula ugolo
 
Battle ni Nairobi na Dar. Kama unataka uunganishe na Mombasa sawa itakuwa Dar es salaam vs Nairobi + Mombasa. Tukikubaliana hapo tunaanzisha thread. Sawa?
Sasawa, Nairobi vs Dar. Nina uzembe wa kusoma kurasa 50 za hii thread. Ukipost kitu ntakuwa natafuta kitu similar kutoka Nairobi🙂
 
Sasawa, Nairobi vs Dar. Nina uzembe wa kusoma kurasa 50 za hii thread. Ukipost kitu ntakuwa natafuta kitu similar kutoka Nairobi🙂

Hata mimi hapa nahisi kuchoshwa na upuzi huu.

Masalama wana wakosa kazi!
 
STALE NEWS!

Habari za karne iliyopita.................hata hivyo endelea kubandika mwana!
till today,many kenyans are still suffering from anxiety disorder caused by alshabab attacks.it will take you years to forget alshabab.they keep giving you nightmares.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Hapo pekundu unapaswa kuandika "UGORO"....sio "ugolo"
Kalb wahed!
Toa ujinga wewe ina maan wewe unajua kiswahili kuliko mimi. Nenda kajifunze kiswahili ndio uje hapa. Ugolo unaitwa chewing tobacco kwa kingereza. Nenda basi kajifunze hata kwenye google translator.
 
till today,many kenyans are still suffering from anxiety disorder caused by alshabab attacks.it will take you years to forget about alshabab.they keep giving you nightmares.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Nchi ambazo zimeendelea huwa na tatizo la ugaidi; USA, France, Britain, Kenya, Belgium n.k
 
KILIMANJARO HOTEL DAR ES SALAAM







INFINITY POOL




GYM



note The hotel has changed the management from kempinski to HYATT REGENCY
 
Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro

Kivukoni Street P.O. Box 9574,
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: +255 764 70 1234 Fax: +255 22 212 0777
Email: daressalaam.kilimanjaro@hyatt.com



Facade








Reception


Diplomatic Suite


Royal Suite












Oriental Restaurant



The Palm


The Palm – All-day dining restaurantOverlooking the manicured gardens, it is the restaurant of choice for breakfast, business luncheons and dinner, offering lavish buffets and à la carte cuisine.












Infinity pool


Enjoy sunbathing at the pool deck












 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…