Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

oh my god!!!! halafu wanajifanya oh sgr oh nairobi terminus kumbe kila kitu kinaendeshwa na wachina ndio maana wanyarwanda na waganda wakaona mh hapa tutaingia mkenge wakaona waopt ya tz
 
Nikukutana nao nitawaambia ''Jitoeni kwenye ngori Budah. Ujue 2010 to date mmepiga kazi sana medouble economy inayoishia kwa ha hu'.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
 
watajua hawajui.[emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]


NB:
ni mkenya anayeishi dar es salaam, si mtanzania. na hayo ni maneno yake. hajatumwa na mtz kusema maneno hayo.
 
hawa wasee kusema ukweli hakuna kitu wanaweza ambia kenya......wanajaribu kucopy any project inayoendelea kenya but thats as far as it goes......kwa michezo ama quality of education hata tusibishane nao........
Wanashindana na ndovu kunia na hao ni sungura[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…