Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy usiiguse upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamesha anza kuludia picha wanazo post kwa kutumia angel tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Drug dealer maybe it's the cocaine in your head you seeing twos
 
Inabidi muwaminyie .....

Wanapoteza mda kwa MSA
Ichoboy usiiguse upanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamesha anza kuludia picha wanazo post kwa kutumia angel tofauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu wanadai wamesoma sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wangekua wamesoma majengo yasingekua yanaanguka ovyovyo ana simama engineer anakwambia upepo uliangusha na ni jengo linajengwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanareason zakitoto ,,,na hauwezi amini ukienda vyuo vya kenya kunavicourse vya ajabu usishangae hapa wanjala na ndevu zake zote kama beberu ukaambiwa anadiploma ya ususi twende kilioni na el matandabui naye akawa na degree yakukosha vyombo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wangekua wamesoma majengo yasingekua yanaanguka ovyovyo ana simama engineer anakwambia upepo uliangusha na ni jengo linajengwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu walipotez pesa za walipa kodi kisherekea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ loss imezaa worse

 
ntahesabu vipi wanjala hapo mbona kama vile huna akili wewe nipe jina la jengo usiogope bro sikuumbui ntapiga kimyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Ilikazana na ile ulikuwa unasema Oman, nikakwambia. Sasa hii tena!? Wewe mwenyewe tafuta jina la hii. Upikiwe utafuniwe wewe iwe kumeza tu!?? Kazi kwako
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Edward wanjala ....hivi maana na wanjala ni nini?...
Hebu nisaidie ukishanijibu ndiyo tuendelee na hiko kitu
The following map shows where Chinese loans are in the world. Watanzania mnadanganywa. Mtajua mkishakuwa vibaraka wa wachina. Tanzania ndio inaongoza. Angalia vizuri mtaonaView attachment 934439
 
Ilikazana na ile ulikuwa unasema Oman, nikakwambia. Sasa hii tena!? Wewe mwenyewe tafuta jina la hii. Upikiwe utafuniwe wewe iwe kumeza tu!?? Kazi kwako
Nipe jina la hili jengo wanjalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…