Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani navuta picha zile njia nane zinazoongezwa ukiplus hapo kati kuanzia ubungo-kimara aisee naona kabisa 1st big giant road in Africa made in Tanzania[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji738]View attachment 974405
Nasikia michoro ya phase 3 ni tabu tupu!! zinaingia mpaka airport juu kwa juu! Umetoka kwenye pipa una chukua BRT una drop Kimara, safi kabisa, less tha $1 umefika kwako!! Bus zitakua zinatumia gas. Wazungu watakuja kushangaa bongo siku si nyingi. Njiani umepita ma flyover na ma lane kibao kibao [emoji1]
 
Daah ni hatari yaani ujue unawayoa roho hawa mungiki.....
 
Dah na wasisahau kama Viwanda vile tume invest Pwani Vingetosha dar bas tunhekuwa first EA richest city Dar
 
Fanyeni mchakato tuzipate
 
Mungu mkubwa sana, alikuwa na kusudi lake wakenya wajiweke kando na hii thread.

kabla hawajajitoa ulikuwa unakuta page nzima ni kujibishana tu kwa maneno yasiyo na staha.

ila tangu wajitoe kila post ina make sense....kila post imebeba ujumbe wenye logic na Likes zimeongezeka.

hii inaonyesha thread bado inafatiliwa sana.pongezi kwetu na ma comrade wote.
 
Tuko pamoja Japo ishu zinabana tunafuatilia kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…