Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji122][emoji122][emoji106]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ni vitu vya kawaida tu,KQ ziko ngapi ? Tena Boeing na hatupigii watu kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kq haimiliki ndege hata moja ndege zote ni leasing deal kwa taarifa yako na ndio sababu kubwa ya loss inayowatesa leo miaka6πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Magari ninayo na sio mawili nimeuliza investment ambayo umefanya huu mwaka sio kupost gari,unaweza ukawa na gari na huna any tangible investment.

Sent using Jamii Forums mobile app

mtu gan huyoo anamiliki magari wawili na nyumba kubwa kama hio na asiwe na investment??? heri unyamaze ufiche ujinga wako!!
 
mtu gan huyoo anamiliki magari wawili na nyumba kubwa kama hio na asiwe na investment??? heri unyamaze ufiche ujinga wako!!
Huyo bwege kweli..Mwambie aonyesha ya kwake...πŸ˜…πŸ˜…
 
You must be a fool of the highest order, if I may ask what is your company's turnover? If at all you have any. I don't deal with idiots.

Sent using Jamii Forums mobile app
You think to make money you need to have the so called company...That can only just be a name....Wewe huna kitu jobless...Am sure hata simu unatumia itakuwa ni kati ya hizi(Techno/Infinix/Itel)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…