Hahaha ha ichoboy01 sijui ulikua busy sana unagoogle kiasi kwamba hukufatilia maongezi yalivyokua yana flow? Unakumbuka hii comment?Sasa hujui kama walinunua ahahhahahaha
Hio ndio jibu nimekwambia kama walinunua cash kwa sifa mlizokua nazo dunia nzima ingejua sasa niletee official source inayosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote sio tu dream liner ndege ya aina yoyoteοΏΌοΏΌπππ
Muda unao umebakiza siku moja do my assignment pleaseππππ
Alishindwa wanjala umekuja wewe sasa tafuta hio source kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote οΏΌοΏΌοΏΌπππ
Huwezi kujibu kwasabbu ukweli unaujua hahhahahahhahaha ππππ
Nataka source kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote ukinipa hio source alaf tutaendelea sasa nikufundishe mambo ya aviationππππππhttps://www.jamiiforums.com/members/ichoboy01.420069/umenifurahisha saaaana!!! Asante for information. Hichi ndo nilichokua nakomalia.... umezunguuka weeeee but mwishowe ume-deliver!! Well done kwa kweli! View attachment 503235
Nataka source kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote ukinipa hio source alaf tutaendelea sasa nikufundishe mambo ya aviationππππππ
Elewa swali kwanz na hili swali umelivamia mwenyewe..alikua ajibu wanjala wewe ukalidakia hewani sasa Nipe source baba....swali ulilivamia mwenyewe sasa jibu tafadhali nataka source kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote sio tu dreamliner ya aina yoyoteπππ
Hahahahahahaaaa fatilia comment zangu dogo. ... na hili unakaza kichwa?!ππSwali lilikua la wanjala umelidakia wewe sasa nijibu nilichomuuliza wanjalaππππππ
Assignment niliompa wanjala kashindwa na wewe umeshindwa hahahhahahahππππππHahahahahahaaaa fatilia comment zangu dogo. ... na hili unakaza kichwa?!ππView attachment 503239
Unachange topic hahhahahhah eti hujui kama wamenunua au wamiba hhahhahahahHahahahahahaaaa fatilia comment zangu dogo. ... na hili unakaza kichwa?!ππView attachment 503239
Wewe huongea sana. Ukikosa content you make up for it na a lot of rubbish talkUnachange topic hahhahahhah eti hujui kama wamenunua au wamiba hhahhahahah
Sasa kma hawajanunua watamiliki vipi iwe yakwenu au nyie ndio Boeing manufacturer πππππππ
Wazee wa chawapoke.......chama cha watoa povu kenyaππππ safari hii kila sehemu mumedunda munajaribu mkijaribu lakini wapi ππππππ
Hehehe..... hapo nakupa screenshot za comment za zamani. mimi sio kama wewe kabla hujapata link ulikua unarukaruka hapakule hapakule lakini nikakutulizaUnachange topic hahhahahhah eti hujui kama wamenunua au wamiba hhahhahahah
Sasa kma hawajanunua watamiliki vipi iwe yakwenu au nyie ndio Boeing manufacturer πππππππ
Wazee wa chawapoke.......chama cha watoa povu kenyaππππ safari hii kila sehemu mumedunda munajaribu mkijaribu lakini wapi ππππππ
Wewe ungeenda shule sidhani kama ungefaulu!!! hehehe π... unakaza kichwa kichizi... Fatilia comment zangu toka mwanzo mimi nilichokuuliza ni wamiliki wa dreamliner hayo mengine umeongezea wewe.Eti umesoma link za sub lease unakuja kutunisa mishipa hahhahahhaha kwanza soma uelewe maana ya sub lease οΏΌοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌ, ππ nyie mume lease alaf mkalease kwa another company,
Na kwanza unaijua sababu ya sub lease mliofanya ahahhahaha soma mdogo wangu au uliza kama hujui hakuna mtu atakucheka hapa
Niliwah kusema hapa mkishiriki sifa sana mtakufa masikini οΏΌοΏΌοΏΌππππ
Bro kwa taarifa yako kma ulikua hujui aviation is my facultyππππ
So karibu Sanaπππ
konyagi kama kichwa yako ni nyepesi huwezi himiri.tuachie sisi watu wazito.Konyagi hukaa 2nd generation..Hio siezi kunywa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Assignment yangu imekushinda ππππππ
Nilijua tu hahhaaha mwenzako wanjala kashindwa akakimbia ukajifanya we mjuaji sana
ππππππ
Lakini nimekupa siku mbili muda bado unao sana jitahidi usikate tamaaπππ
Niletee official source inayosema kua kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash
πππππππππ
Konyagi ni chang'aa iliyowekwa kwenye chupa.konyagi kama kichwa yako ni nyepesi huwezi himiri.tuachie sisi watu wazito.
aliyeanza kumpatia mwenzake assignment kati ya wewe na yeye ni nani?[emoji23] [emoji23]hehehehehehe.... sina mbavu!!! Usharuruka ruka sana toka juzi nakuangali alafu mimi nakomalia swali langu last toka juzi! Yani halijabadilika. Linasoma vile vile. Wamiliki was dreamliner ni nani? Swali dogo sana siku ya tatu Leo!
Mie kweli sijui kama walinunua cash au mkopo ntajuaje labda waliiba na ndo maana sijawai kuongelea. Basi wewe unaejua wamekodi tuambie wamekodi kutoka wapi? Siku ya tatu unatafuta! Hujapata tu! Hahahahahaπ
Sema tu kama hujui lakini kama Umeona ukwepe kwa staili hiyo pia hamna shida yote maisha mdogo Wangu. Punguza povu tu......
Cheki Hapo kuna kitufe cha "previous page"π±. Please find out and when you do, keep it to yourselfπ!!aliyeanza kumpatia mwenzake assignment kati ya wewe na yeye ni nani?[emoji23] [emoji23]
Hii Ni pale OLE SERENI?
Nashangaa nilimpa assignment wanjala akakimbia jamaa akadakia akafkiri jibu rahisi kumbe mtego wa Bomu sasa anaanza kukenua kenua tu na kuzuga hawezi kujibu hill swali kwasababu hawanaπππaliyeanza kumpatia mwenzake assignment kati ya wewe na yeye ni nani?[emoji23] [emoji23]
Jibu huna ahahhahaha assignment ya moto οΏΌππHehehe..... hapo nakupa screenshot za comment za zamani. mimi sio kama wewe kabla hujapata link ulikua unarukaruka hapakule hapakule lakini nikakutuliza