Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
Izo health centre zote Zimepewa kati ya tsh 400-Tsh500M Za ujenzi na Tshs200M Za vifaa vya kuanzia...nchi nzima...hapa mh nampa 100%
Tumajengo twa kishamba tu huto ndo unachafua uzi hauko xriac
Kwa kenya wangeigeuza kua hoteli ya kitaliiππππ
Acha hasira kwenu ingekua hoteli hioπππ na hio hospitali iko ushagoTumajengo twa kishamba tu huto ndo unachafua uzi hauko xriac
Their KING is back, standing highTanzania Yaongoza Kwa Uwekezaji Afrika Mashariki
View attachment 1063081
πππ Tena ingejengwa kijiji uhuru anachotoka tu.Kwa kenya wangeigeuza kua hoteli ya kitaliiππππ