YapHapa nimepata darasa safi kabisa, shukran!!
green ngima ni good lookingNgorongoro crater lake
Tokyo tunapajua
Hapa ni wapi mrembo??? Ikiwa hapo ni nairobi leo leo nafunga account jamii forum๐๐๐๐๐๐
Hiyo nayo ni tower? Au ni towel nmekosea kusoma?Mombasa new towers
View attachment 1102411
Nani kasema hapo ni Nairobi au dar?Tokyo tunapajua
So unapost hapa ili iweje au unataka kudanganya watu kiaina๐๐๐๐Nani kasema hapo ni Nairobi au dar?
Picha kalii ๐ฅ
Huyu ni muongo mzoefu umeona alivyoruka kininja [emoji23][emoji23]So unapost hapa ili iweje au unataka kudanganya watu kiaina[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Dar es salaam๐๐๐๐View attachment 1102535Karura, Nairobi