Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwongo mwingi kaka... Hahaha economy yenu 61b Kenya 100b
 
Economy ya nai ni 60b usd Sawa na dar slum. Magari ziko nairobi ni mingi kushinda Tanzania yote
Leta official source kua economy ya nai ni mara 10 ya dar ukipata nitag[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Picha ya 70s no upper hill no Westlands the same photo 2018 without cbdView attachment 1165229

Uhahaha naona upper hiill hapo na westland kwa pamoja so unaniambia hio ni density nayoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ila wakenya munashida sana akilini hebu pambana na upanga pekea yakeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Economy ya nai ni 60b usd Sawa na dar slum. Magari ziko nairobi ni mingi kushinda Tanzania yote

Niletee official source sio porojoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† unayo idadi ya magari pia ulete official source
 
Usipoteze muda wako, huo uvundo wanajua kabisa kwamba unapatikana Kenya na DRC pekee katika eneo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…