Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa,punguza jaziba.
huko kwenye hotel na resort tulishapita,au umesahau?.

huoni kwamba itakuwa unarudia kuweka picha ulizoweka ktk pages zingine?.

tumewawapa nafasi nyingine.wekeni picha za kitu chochote cha pekee ambacho mnafikiri hakipo dar ila kipo nairobi.sisi tutajibu.
 
Na nyie mnarudiarudia PSPF hadi kero... Mwingine anasema inaonekana badi sydney... duh
sisi tukiwa kama wafuatiliaji wewe umekuja kuharibu huu uzi coz uko na unazi usiofaa tofauti na wenzako walikuwa wanaenda fresh tuu. Kama kitu hakipo dar tunasema hakipo na nyie wekeni ambacho hatuna ndio manaana Anael anaweka ambavyo hamna.
 
Tehehehee... you are very partial and subjective. Zidi kuvuta kwenu
 
For what? What will we be comparing? How can you compare something on nothing! Wasting time here, kina Depay, huu uzi ni wakutumalizia wakati! Twenzetu, Nairaland tuachane na hawa majamaa hawana lolote!!
 
Wacha waendelee na uwanja mdogo.... Adioz! Going round in cycles, it's like a dog chasing its tail as fast.....
 
Tehehehee... you are very partial and subjective. Zidi kuvuta kwenu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] hayo ndo tunaitaga maneno ya mkosaji! kama hamna hamna tuu wacha maneno leta mambo[emoji12]
 
Sasa ndio hivi mnaanza kuleta picha za Bahari? Kwani bahari ni city??
budaa bahari is part and parcel of dar city.you can't avoid it when discussing matters that are connecting with the appearance of dar.it's like discussing the appearance of nairobi without showing photos of flyovers or thika road highway[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tehehehee... you are very partial and subjective. Zidi kuvuta kwenu
Nakuona unahasira sana. Ngona nikuache kidogo ili hasira zako zipo.
Maama mara unaleta picha za Malindi, Mombasa. Sisi hapa Tanzania kuna maeneo mengi tu.
Zaidi sana nimekuona unachuki sana na watanzania yaani umejaa unazi tu.
Hapa Tanzania kuna sehemu nyingi tu za mbuga. Mbona mkipost mbuga yenu ya Nairobi sisi tunakaa kimya na kukubali?

Iweje wewe unakuwa wa namna hii. Sisi kuna maeneo mengi tu hapa Tanzania
1. Zanzibar
2. Mafia
3. Serengeti
5. Ngorongoro
nk. Lakini hakuna hata picha moja tumepost tofauti na Dar es salaam.
 
For what? What will we be comparing? How can you compare something on nothing! Wasting time here, kina Depay, huu uzi ni wakutumalizia wakati! Twenzetu, Nairaland tuachane na hawa majamaa hawana lolote!!
Nyie vijana ni washamba sana. Kama akili za wakenya wote zipo hivi. Basi hii EA haina maana yoyote.
 
For what? What will we be comparing? How can you compare something on nothing! Wasting time here, kina Depay, huu uzi ni wakutumalizia wakati! Twenzetu, Nairaland tuachane na hawa majamaa hawana lolote!!
Wanjala acha hasira.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Giraffe Center nairobi

Sorry wanjala,i know you have gone mad and decide to step out of the ring. well, i don't care,but can't leave this post go unanswered.I have the answer.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] the dar es salaam zoo.
 
Wamekimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…