Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ungetuonyesha yenu badala ya kutoa povu ndoo nzima πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Baada ya magu kuwanyima bagamoyo port ambayo wangeimiliki kwa miaka 99 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee wachina sio watu wazuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
stop fooling yourself. we are not following Tanzanian news. if that were the case, we would be on a Tanzanian section but here we are here on a Kenyan section. Tafuta comment yangu Tanzanian section ukipata uniambie
 
Unajua kwanini tupo kwenye hii section?
Mlitengenezewa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu Mnawashwa washwa mkaanza kupost news za Tz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania inawapa sleepless πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You can't eat and drink anything bila kufanya comparison na Tz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatuwajui wasanii wenu ila mmejazana kwenye social networks za wasanii wetu mkishoboka "WAPI LIKES ZA WAKENYA" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
"LIKE ZA WAKENYA ZICOME"
 
If Tanzania was giving us sleepless nights at least I would have known even the name of your vice president, the second in command. But here you are, you know even the names of our deputy governors and very soon mtajua hadi MCAs πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ungetuonyesha yenu badala ya kutoa povu ndoo nzima [emoji23] [emoji23] [emoji23]

We had Dar Port Chalinze Expressway project ambayo ilikuwa iwe PPP kama hiyo yenu, Serikali ikaifutilia mbali na inatafuta namna nyingine ya kuiendeleza. Nyie endeleeni kuuza nchi yenu kwa Wachina. Sisi toll yetu ya Kigamboni anasimamia NSSF mkwanja unabaki home, miaka 30 mchina akimaliza hiyo barabara itakuwa ya kuvunjwa mjenge nyingine[emoji23][emoji23]
 
Baada ya magu kuwanyima bagamoyo port ambayo wangeimiliki kwa miaka 99 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee wachina sio watu wazuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You didn't have the money and technical know-how to fund that shit. Stop beating around the bush!
 
Endeleeni kutafuta hiyo namna. Ikipatikana mtujuze
 
If Tanzania was giving us sleepless nights at least I would have known even the name of your vice president, the second in command. But here you are, you know even the names of our deputy governors and very soon mtajua hadi MCAs πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mca ndo nini hiyo au ni tusi jipya la wakikuyu,
Tanzania inawapa sleepless kweli kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You can't eat anything bila kuiwaza Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata hiyo chakula unayoshindwa kuila kutokana na kunyimwa raha pia kinatoka Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You didn't have the money and technical know-how to fund that shit. Stop beating around the bush!
Kwani mradi ulikuwa unajengwa na nani na nani ameupiga chini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnaingia utumwani miaka thate hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile siku mkenya ata comment tanzanian section dunia itaisha jomba
 
Endelea kulia Sana
Mlisema Mombasa port itachukuliwa bado tunangoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…