Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha na kunyaland huyo jibu analo ila ni kiburi tu ndo kinamfanya hasielewe
Wewe msaidie, mlishinda kesi kuhusu nn?
Kw ajili aiachie ndege au yeye kutolipwa hela zake...

Km ingelikua mahakama ya ssuzi imeruhusu msimlipe basi sai safari za jozi zingeliendelea km kawa..[emoji23][emoji23]
 
Tulistopisha baada ya machafuko na nyie mbona mogadishu militoka na ndege zenu za kukodi zinazoingiza hasara kila mwakaπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hivyo machafuko bado iko Sauzi hadi leo? πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wewe msaidie, mlishinda kesi kuhusu nn?
Kw ajili aiachie ndege au yeye kutolipwa hela zake...

Km ingelikua mahakama ya ssuzi imeruhusu msimlipe basi sai safari za jozi zingeliendelea km kawa..[emoji23][emoji23]
Huyo mkulima ni alishindwa kesi ndo maana ndege ikaachiwa kule SA na hivyo hivyo atashindwa tena kesi huko canada na ndege itakuja bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…