Umejaa upepo. Ni kichekesho watu wenye uchumi wa kati kuishi humu. Then how many slums do you have? Mwisho wa siku zaidi ya nusu ya watu wa nairobi wanaishi kwenye slums.
Developed ya kupewa misaada ya chakula auIf the 2 sq km of kibera ndio inawasumbua akili poleni......Kenya on average is way developed than more than 40 African nations......Only Egypt Algeria SA nigeria and perhaps Morocco are better than us.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....ccm hoyeeeDeveloped ya kupewa misaada ya chakula au
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].....ccm hoyeeeView attachment 1289112
Sent using Jamii Forums mobile app
Developed ya kupewa misaada ya chakula au
Kuja uzunguke Tz yote Utuoneshe mkoa wenye njaa, yaani mkibanwa penyewe mnaaanza kusingizia media πππWe don't threaten our journalists like you people.....you silenced some reporters who were reporting about hunger in Tanzania...If you have AIDS and in this case Tanzania pretending to be good yet one of the poorest nations on earth with some cheap PR from ccm hegemony.....you crack....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jubilee has tried......atleast things are being done in silence deep in the counties......
I.look at these governors from the best performing counties and have hopes that we are getting there..
Charity Ngilu-kitui county
Wycliffe Oparanya-kakamega county
Anyang Nyongo -kisumu
Kivutha Kibwana-Makueni
Alfred Mutua -Machakos
James Ongwae-kisii
John Lonyangapuo-West Pokot
Mutahi kahiga-Nyeri
But to mention a few
Sent using Jamii Forums mobile app
Your examples are always hypothetical. Leta hizo habari za journalists waliokuwa wanareport hunger tuone hapa.We don't threaten our journalists like you people.....you silenced some reporters who were reporting about hunger in Tanzania...If you have AIDS and in this case Tanzania pretending to be good yet one of the poorest nations on earth with some cheap PR from ccm hegemony.....you crack....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa mmoja pekee wa Tanzania una uwezo wa kulisha kenya like hakuna kilicho tokea yaani πππKisumu 2021........World Afri Cities conference View attachment 1289128
Sent using Jamii Forums mobile app
VIKING23 R u saying Kenya has no Aids?
Wakaazi Nairobi wasio ishi Kwa slums awazidi million 1 tuKibera has only 170k people.......where do guys get these other crazy statistics
Sent using Jamii Forums mobile app
Ati Tanzanians don't live in slums.....joke of the century View attachment 1289081
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe.........Kenya is the hope of East and central Africa.....View attachment 1289104
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali halisi ya maisha yenu yanatosha kuwadefine ninyi ni watu wa uchumi gani.Hehehe.........Kenya is the hope of East and central Africa.....[emoji122]View attachment 1289104
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa ya hii middle income inachekesha sana. Hiki ni kituko kingine.Kuja uzunguke Tz yote Utuoneshe mkoa wenye njaa, yaani mkibanwa penyewe mnaaanza kusingizia media πππ