Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumia tu kiswahili kaka badala ya aibu ndogo ndogo hivi πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wacha aongee unajua kwann sio lugha yetu ya taifa so ni lugha ya tatu kwake musijifanye nyie ni kama lugha yenu wakat mumekaa kama watumwa🀣🀣
 
Wacha aongee unajua kwann sio lugha yetu ya taifa so ni lugha ya tatu kwake musijifanye nyie ni kama lugha yenu wakat mumekaa kama watumwa🀣🀣
Mbona atumie lugha yenye haelewi?
 
We love this city
Well said.
 
Habari zenu...Naona number nyingi Za kenya kwenye baadhi magari hapa Moshi. ..sijui ni watz wanaoishi Kenya au ni wakenya wamekuja kula raha ...
Kwakwel Moshi magari Ni mengi sio kawaida...kumechangamka sana ni kama kawaida huu mkoa mwisho wa mwaka hua mtamu ajabu...

Nawatakia sikukuu njema msherehekee kwa Amani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje as long wana-spend hata kwa parks na Arusha wapo wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…