Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you crying though? You are delusional. I guess making up those percentages makes you feel better πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ When you speak of hopeless visions, we are out here executing projects. Keep dreaming dreamer
Mjinga sampuli kama huyo hata huna haja ya kumjibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unamuacha tu aendelee kuamini ujinga anaouamini,
Mtu anaandika comment unagundua kabisa huyu kwenye maisha yake kuna tatizo mahali.
 
Kwamba, county ya Kiambu inakusanya mapato mengi kuliko Dar sio!??
Ok umeshinda bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol.....haitaki hasira ldc dweller
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi anataka kulia[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi gdp is equal to the whole tanzanian gdp........daresalaam is just like Mombasa...i understand you have to defend your pathetic city ...i won't take that from you

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata Vichekesho kama hivi tuma neno kibera kwenda namba 15577 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Headquarters za slums Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikisema wewe ni mjnga unaona vibaya. Do you know the meaning of "American Kenya base"? Inamaanisha kuwa hiyo base ni ya US and the base is located in Kenya Lamu county. Hiyo nimekufunza bure sitaki pesa yoyote[emoji23]
Is America kenya base located in lamu [emoji23][emoji23][emoji23] unataka kudanganya nani yani hata hio pia unataka sifa
Yani nilijua msomi kumbe bogus


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…