Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo ni watu wakushangaza sana, sasa wewe huishi hayo maisha mabovu, unawashwa na nini?? Unajua lack of exposure in Tanzania imesababisha mambo kama haya!
View attachment 515167
Lack of exposure!!
wew umepagawa kama uliikosesha wew sawa.......endelea kuishi maisha ya umaskini.......nyie si mnategenea exposure sababu ya njaa njaa zenu......na mtskauka mpaka basi....
 
4 Days to go!! Here it from the employees of the SGR Kenya

SGR Ladies in the cabin. look at how those trains cruise
 
Hahaha ata pavements hakuna iyo ni chuo gani ovyo hivyo....alafu unacompare hizo upuzi na Nyayo estate the biggest estate in Africa
mpuuzi kweli wew weka ...bweni za chuo zenu hapa......tucheke....[emoji3] [emoji23] [emoji23] na hizo estate zenu tulikosea sana kulinganisha na hizo vibanda kwani hazigusi hata robo
 
Izo ma hao za Nyayo zinauzwa 2 bedrooms na 3 bedrooms,10 million na 15 million respectively...... Tuma picha za estate ka hio Tz mnaishi kwa Madongo poromoka wengi wenu
Sometimes unapoint sometimes pumba hua sielew apo, alafu pumba zako ni zakiwango kabisa
 
mpuuzi kweli wew weka ...bweni za chuo zenu hapa......tucheke....[emoji3] [emoji23] [emoji23] na hizo estate zenu tulikosea sana kulinganisha na hizo vibanda kwani hazigusi hata robo
Hiyo Mortuary ndio mnaiita bweni?????? Acha nikutumie mabweni
 
Depends on the level of exposure in the context.
acha kuwa mzee wenzako washasema.....wew mbumbumbu ndiye unayesakata rumba unajitia vidole mwenyewe...[emoji31] [emoji31] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…