Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Source please, na kawaida mkopo ukitolewa kunakuwepo na siku ya kutia sahini mikataba mbele ya waandishi wa habari, kama ninyi mlivyofanya, unaweza kutuwekea clip au taarifa kwamba hili zoezi lilifanyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tomato sauce ndio hii hapa 😂 😂 😂


 
Tomato sauce.

When standard Chartered Bank gave you loan was there a clip?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Which loan from Standard charter?. Sisi hatukopi hovyo kama ninyi, tulikataa mkopo toka China wa $7.6B kujenga SGR kwasababu ulikua ni mkopo wa kibiashara, kwanini tukubali mkopo wa Standard charter ambao pia ni biashara?.

Tatizo mnashindwa kuelewa kwamba, Tanzania sio nchi njaa njaa kama mlivyo ninyi, tulikosa kiongozi wa kusimamia matumizi bora ya rasilimali zetu, sasa hivi tumempata, tutaendelea kupunguza mikopo na kutumia pesa zetu kwa kiasi kikubwa, hapo ndio mnapochanganyikiea, hamuamini kwanini tunaweza lakini ninyi hamuwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezi nini? Jujikwamua kutoka kwenye lile tope la LDC ama?
 
Yaani you are too thick and lazy to even know what is happening in your country? [emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Tanzania is full of fools[emoji1787][emoji1787][emoji1787] . Ndio hiyo loan ya Standard Chartered bank for your SGR. The amount is $1.46b




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atajuaje wakati ako too busy googling what's happening in Kenya alete hapa ndani wajinga wenzako wampigie makofi?
 
Hii ndio evidence! tena kutoka kenyan githeri media 😂😂😂
Endelea kusaidiana kueneza hizo propaganda.
Other Kenyan githeri media 😂 😂 😂




NEXT?? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hii SGR si inawapa sleepless Sana [emoji23][emoji23][emoji23]msijali ipo siku na nyie mtapata kiongozi mzuri ili muache kukomaa na mitungi ya changaa inayotoa moshi na kuchafua mazingira,
Financed by Government of Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Am giving you sources as one of you asked and you are giving me a billboard written HIV/AIDS KILLS!! Are you HIV/AIDS campaigner?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…