Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Hiyo ni kweli tuusan, ila nilikuwa nikitaka kumuonyesha jamaa mwingine hapa!Nyie mnakua kama hamjasoma wakati mmesoma,jibu ni rahisi tu kama nyie mnajivunia station ya reli nasisi tunajivunia stand ya kisasa ya bus ambayo Hamna, you don't have what we got and that is what makes us being different, you should have learn b4 how to respond to your hommie in arguments
Only five years more and Kenya will start catching up with the Koreans! My vote was preserved for him since his first 100 days in officeHis juniors are the ones soiling him...but if this guy gets another 5 years....he would do great staff
[emoji111][emoji106]Hiyo ni kweli tuusan, ila nilikuwa nikitaka kumuonyesha jamaa mwingine hapa!
Mambo mengi yanayoweza fananishwa hapa hamyajibu sababu hamwezi, Kwetu ambayo hatuwezi jibu ni machache, BRT na Stani ya basi tu!! Labda muweke bahari!!
Na sisi tukishindwa kujibu basi tunatii!!
Standard gauge yetu modern one iko under construction kua mpole utaiona....naomba unioneshe bus stage yoyote Kenya tafadhaliBefore tulete...tulikua tunaongelea reli..mlete ya reli kwanza then tutaleta ya bus
Hahahahah subutu na safarii hatoki ntafurahi san a odinga akipita na atapitaOnly five years more and Kenya will start catching up with the Koreans! My vote was preserved for him since his first 100 days in office
Ichoboy01, Nice pics, makes me change my perception of Bongo.
However, Hii picha, Tanzania hutumia white katikati, hii ina yellow?
Pili Ukiifanya Google reverse search inakuletea mambo kama haya
View attachment 515249 View attachment 515250
You must have mixed up, because this road is not in Tanzania.
Second pic, you got it, it was first posted by a Tanzanian by the name Zacharia Hanns on Twitter
Tumetia hofu, Oding ni Kama Magu tu, akiingia projects zote kando, aanze zakeHahahahah subutu na safarii hatoki ntafurahi san a odinga akipita na atapita
HaHaha basi vyema...maana tu za apa dsm Ni nzur almost zote kuna baadhi ya vitu tuko makiniStand ya magari hapo mmetupiga 10 nil ...hehehe. Ile Machakos country bus ya Nairobi hata mimi huogopa kuenda huko. ...ya easy coach ndio inakaa atleast.
Shida ni there is no land in Nairobi to make like the ones in Dar. ...unless we restrict matatus from entering the CBD hapo mgomo wa matatu na demonstrations zitatokea. ...and of course for political capital. ..mwanasiasa huona kama ni kura atapoteza.But that's a lesson Nairobi should learn from DarHaHaha basi vyema...maana tu za apa dsm Ni nzur almost zote kuna baadhi ya vitu tuko makini
mbona kuna sehemu pembezoni mwa mji nimeona maeneo ya wazi....vipi.....kwani kujenga wanazuia...?Random bus stations in Nairobi
Hapana sio Barabara zote zina mstari mweupe katikati hapa Tz, Huo mkeka wa mafinga achana nao kabisa sijajua Hiyo project kama itafika mpaka tunduma (boarder to zambia)? Maana now Hiyo project inakaribia mbeya.Ichoboy01, Nice pics, makes me change my perception of Bongo.
However, Hii picha, Tanzania hutumia white katikati, hii ina yellow?
Pili Ukiifanya Google reverse search inakuletea mambo kama haya
View attachment 515249 View attachment 515250
You must have mixed up, because this road is not in Tanzania.
Second pic, you got it, it was first posted by a Tanzanian by the name Zacharia Hanns on Twitter
All East Africans we are friends every where but the difficult is in this battle both national's representative wants to be high, you think who will accept to be low? But I heard that in Kenya there is tribalism so Tanzanians are not comfortable in kenya because you can't treated equal as we treat them in our country, But some Kenyans who are living in Tanzania are very comfortable. Good example in recent weeks I don't remember yet, but I think one of your minister prohibited gas for domestic use from Tanzania to enter Kenya, so you thinks which country is jealous? Some of Kenya here runs consultant companies,business etc we let them do as they can.I think Tanzanians mnapenda kuishi in denial sana....ama most of you suffer from selective amnesia. Mnaringa mko na opportunities na gikomba market watanzania wamejaza wakitafuta riziki,hata kwa mjengo wako... mimi nimewahi employ maid mtanzania akikuwa msukuma.Kenya and Tanzania are like siamese twins and we face similar challenges. Infact in reality we are very friendly to Tanzanians but nyinyi mkituona huko kwenu mna tu harass sana.
All East Africans we are friends every where but the difficult is in this battle both national's representative wants to be high, you think who will accept to be low? But I heard that in Kenya there is tribalism so Tanzanians are not comfortable in kenya because you can't treated equal as we treat them in our country, But some Kenyans who are living in Tanzania are very comfortable. Good example in recent weeks I don't remember yet, but I think one of your minister prohibited cement from Tanzania to enter Kenya, so you thinks which country is jealous? Some of Kenya here runs consultant companies,business etc we let them do as they can.
hahaa a kenyan company making all this hapenUtalii huooo