Movie na musicThread imenionyesha mengi mazuri lakini ili kuendeleza msiache kupambanisha mambo ya local movies, music na usanii kwa ujumla vilevile ebu tuleteeni taswira za mikoani na majimboni kunafananaje mfano Mombasa, Kisumu, Eldoret au Arusha, Mwanza, Mbeya, n.k.
Movie na music
Hatulinganishi na hao watoto
I admit kwenye sport mko juu.Nikama vile michezo hatuwezi jilinganisha na nyinyi toddlers
Juzi riadha Alphonce Simbu kawatoa jasho standard charter marathon kidogokidogo mtabaki mmetuacha tuu kwenyeNikama vile michezo hatuwezi jilinganisha na nyinyi toddlers
Hata hiyo michezoNikama vile michezo hatuwezi jilinganisha na nyinyi toddlers
michezo pekee ambayo hao jamaa wametuzidi ni riadha, rugby na kidogo netball.
football,boxing,basketball, swimming,martial art,body building,car racing,motorbiking etc.hawatuwezi.
tanzania tunashiriki michezo mingi sana.

Juzi riadha Alphonce Simbu kawatoa jasho standard charter marathon kidogokidogo mtabaki mmetuacha tuu kwenye
Rugby
Cricket bass[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
Subiri time will tell!Heshima kwake Alphonse Simbu, Kenya kwenye riadha wala usiote, ndugu zetu Ethiopia washatutoa jasho miaka na miaka ebu saa hizi wako wapi?
let's assume that you guys are leading in all types of sport except music and movies.how does that feel bro?.hahahahaha toa athletics, Kenya sie ni bingwa wa Africa kweny nyanja nyingi sana Africa. Football labda waGanda waongee, nyie ni simba na Yanga tu, hamtishi yeyote, boxing kwenye Olympic mlifika wapi? hebu angalia mshiriki wa kenya kwenye ndondi alifika wapi. Car Racing? swiming? hahahahaaa aisee you are living in a bubble Kadoda
Nairobi sio jiji salama la kuishi.
8th December 2016.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Tell that to all the multinationals and NGO's queuing to set base in kenya despite all the insecurity, threats and advisories posed by terrorism and overlooking our neighbors who enjoy 'peace and tranquility'. Y'all need to sit down and ask yourselves some really hard questions.

hivi umeelewe kweli alichosema Smatta? hasa kwenye red? ebu rudia kusoma...... huenda ukaelewa this time round.Hanna kitu hapo,hayo maneno yako kamdanganye mtoto wa nursery school .hiyo peace and tranquility haipo kwa watu wa Nairobi,labda huko kenya mashinani.
many people of nairobi suffer from anxiety disorder as caused by post election violence, terrorism and crime events,I can prove this if you ask me.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hanna kitu hapo,hayo maneno yako kamdanganye mtoto wa nursery school .hiyo peace and tranquility haipo kwa watu wa Nairobi,labda huko kenya mashinani.
many people of nairobi suffer from anxiety disorder as caused by post election violence, terrorism and crime events,I can prove this if you ask me.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Born and raised Nairobian here, I've never EVER been robbed, carjacked, or had grenades hurled at me. ukija Nairobi usiogope kuni PM, need to show you how good we have it.