Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hugo chokoraa wakikenya analeta story za umeme wakati wenzao huku kila kitu kipo underway full kupanua maujenzi ya kukuza umeme wetu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkenya mmoja humu ni mjinga sn eti anashangaa kusikia watu wapo 1800mw na plan zao kuwa nchi ya viwanda anaona kabsa kuna treni za umeme af eti anasema kabsa with confidence "mkifka huko unitag"
 
Ushapima ...lol.Undeni hiyo station yenu ugly polepole.hiyo maybe tupatie kibwezi terminus

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mmefanyiwa hypnosis na wachina aki ya Mungu. Si bure. Mnaingia station, mnapanda escalators zinawapeleka juu, halafu zinawashusha chini tena mpande treni. SMH. Sisi station yetu unaingia chini, kama unataka kupanda mgr train unapanda chini na kama unapanda SGR train unapanda ghorofa ya tatu. Sasa sijui ulikuwa sarcastic ulivyokuwa unasema "ugly" au we ni mpuuzi tu usiyedeserve muda wangu?
 
So tuishie hapa sindioπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 1340269View attachment 1340270
Huyu mkenya alikuwaga anajielewa angalau kuliko Hizi bumunda za humu, embu cheki alivyo wadunga sindano wenzake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu mkenya alikuwaga anajielewa angalau kuliko Hizi bumunda za humu, embu cheki alivyo wadunga sindano wenzake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na huyu ndio alikua mbishi sana kwenye hii thread huwezi amini 🀣🀣🀣🀣 tulichuana nae nikiwa mm na kadoda11 pamoja na annael yani huyu alikua mbishi vibaya sana na ukiona kasanda ujue kashaona mbali🀣🀣🀣🀣🀣
 
Acha upumbavu no research no right to say
[emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…