Proceed with it we can join ....This thread IS DEAD, open another one, ROOFTOPS AND AERIAL VIEWS (Dar v Nai)
Nairobi kipindi nimekwenda hawakuwa na Bus terminal yaani zinaegeshwa along roads,Bus hazina madaraja kwa milango, na hata stands za matatu(daladala) hazina vituo maalum vilivyokuwa reserved. Matatu attendants hawana uniforms,na hawaogopi traffic policemen.Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
mpinzani wako anapoamau kukusanya virago na kukimbia uwanja wa vita kuna kuwa hakuna sababu ya kuendelea kumuelekezea mashambulizi.This thread IS DEAD, open another one, ROOFTOPS AND AERIAL VIEWS (Dar v Nai)
Mara ya mwisho niliona wakijadiliana kuhusu kuhamia nairaland.may be wamehamia huko.Vijana wa naona wameufyata. Sasa hivi wapo na adabu sana.
Huku kwetu mchangani tunasema kaweka KIPIRA kwapani. Sio mpira, ni kipira.mpinzani wako anapoamau kukusanya virago na kukimbia uwanja wa vita kuna kuwa hakuna sababu ya kuendelea kumuelekezea mashambulizi.
hicho ndio walichofanya wakenya.
[emoji28][emoji28]Huku kwetu mchangani tunasema kaweka KIPIRA kwapani. Sio mpira, ni kipira.
Kule hawawezi kutamba, jamaa hawa wapi pumzi ya kupumua.Mara ya mwisho niliona wakijadiliana kuhusu kuhamia nairaland.may be wamehamia huko.
ila jf ni "mtakuja street",utazunguka kote,mwisho wa siku utarudi.
Haha, hatushindwi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wao wana wajaruo na wakikuyu nyeusiii pndukiana mademu wazuri pia tulinganishe
CC Kafrican angali video hapo juu, mwisho wake waziri anasema "tunajenga kwa fedha zetu wenyewe" got it? Our own money.January 20, 2017
Dar es Salaam, Tanzania
JIONEE: ULIPOFIKIA UJENZI JULIUS NYERERE INT'L AIRPORT ( TERMINAL 3)
The project for a total investment of EUR 254 million was awarded in 2013 by TAA and partially financed by the Tanzanian Government and the ORET Fund from the Dutch Ministry of Foreign Affairs, will be executed in a joint venture with the UK based BAM Nuttall and the Dutch BAM Advies & Engineering as the designers.
Source: Millard Ayo
Mambo siyo mabayaJanuary 20, 2017
Dar es Salaam, Tanzania
JIONEE: ULIPOFIKIA UJENZI JULIUS NYERERE INT'L AIRPORT ( TERMINAL 3)
The project for a total investment of EUR 254 million was awarded in 2013 by TAA and partially financed by the Tanzanian Government and the ORET Fund from the Dutch Ministry of Foreign Affairs, will be executed in a joint venture with the UK based BAM Nuttall and the Dutch BAM Advies & Engineering as the designers.
Source: Millard Ayo
sio bure....lazima umeshiba viroba vya tandale.ama we ni mmoja kati ya wale wanne wabongonyie wote sikilizeni hapa, kwanza munatakia mjue mambo mengi kuringanisha city of dar es salaam and Nairobi. dar es salaam ni biggest urban city by 1590.5 km square while nairobi ni 696 km sq, dar es salaam has more housing and more building projects,dar es salaam has longest modern stayed bridge in east and central Africa, dar es salaam has modern BRT in east and central africa, kariakoo in dar es salaam is a biggest and busiest market in east Africa, dar es salaam has modern beaches than even Mombasa, kunduchi wet n wild in dar es salaam is a biggest water park in east and central africa, NHC morocco square taunted as a biggest housing project in east and central Africa, dar es salaam has a tallest completed building in east and central Africa, terminal 3 julisu nyerer int airport once completed will be the modern airport in east and central africa, SGR once completed in tanzania will run electric train while SGR in kenya wont, etc