Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa kunafanana na Paris
Nairobi Tokyo, kisumu London, thika tel Aviv ,voi ni sawa na Seattle, nakuru ni Melbourne
 
Reactions: MC7
Kwa haya maswali yako unatuaibisha watanzania hapa labda kama umri wako ni chini ya 18 utaeleweka. Ila kama umezidi hapo hata wanaokusapoti hapa watakuwa wanaona aibu
Ukafie mbali
 
Coming up too... Dar es salaam vs Maputo
 
Battle za changanyikeni hazina mshindi ndio tatizo ...naweza kusema sio Dar au Nairobi bado tuko nyuma sana na dunia
 
Battle za changanyikeni hazina mshindi ndio tatizo ...naweza kusema sio Dar au Nairobi bado tuko nyuma sana na dunia

kilema mmoja anacheka mwenzake... Yaani taabu, shidaa
 
kilema mmoja anacheka mwenzake... Yaani taabu, shidaa
Ukitaka kuamini angalia kipato cha wakazi wa nairobi kwa mwaka ni shilling ngapi alafu gawanya kwa mwezi hadi kwa siku utakuja kuniambia and same goes to dar. ...hamna kitu cha maana utakachokuta
 
Ni tu wameona you are pure time wasters.We are keeping off you can discuss on your own. Good evening everyone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…