Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR Kenya
Mombasa-Nairobi: 472km - $3.3bn
Nairobi-Naivasha: 120km - $1.5bn
Naivasha-Kisumu: 262km - $3.7bn
Kisumu-Malaba: 107km - $1.7bn
Malaba-Kampala: 273km - $2.3bn

can’t you see any contradiction here [emoji1318] in distance and costs??






SGR Tanzania
Dar es Salaam-Morogoro: 205km - $1.2bn
Morogoro-Dodoma: 336km - $1.9bn
Dodoma-Tabora: 294km
Tabora-Isaka: 133km
Isaka-Mwanza: 248km
Isaka-Kigali: 571km - $2.5bn

 
Bro sgr Kenya ishafutika kwenye historia sasa hvi ni white elephant kilichobakia wafunge mkanda kulipa deni la mchina tena commercial loan watahara hawa mpaka maji waite mma😁😁😁😁
 
hii picha imenipa motisha sana. hata mimi miaka michache ijayo nitasaidia kuongeza idadi ya hapo Tanzania
 
Kwenye hii sekta mpo vizuri sio mbaya kuwapa hongera

Sent using Jamii Forums mobile app
Sector gani wapo vzr hebu muulize hio plant ya isuzu inauza wapi magari nje ya kenya?? Mwambie akuoneshe plant ya Toyota assembly akiipata nitag mm nifunge account jamii forum, hio mahindra mayo ni gari atamuuzia nani??😁😁😁😁
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ jibu swali
Hebu nioneshe plant assembly ya Toyota in Kenya ukipata tag me nifunge account jamii forum😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…