Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So umekuwa hadi Mwalimu sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hapo ndio desperation imekufikisha. Free advice: jifunze kwanza before passing that "knowledge" to another person
Ahahah umejua nn maana ya ICU sasa endeleeni kudanganywa na jubilee kua critical care beds ni ICUπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ww nicxie mbn unatoka nje ya mada, ss hebu tuambie hapa, jana ulisema kenya mna ICU beds 518 ss twende taratibu usiruke ruke km kuku anayetaka kuchinjwa, je hzo ICU beds 518 ndio sawa na hii au[emoji116][emoji116][emoji116]

Heheheh hawezi kujibu hilo swali never ever jana niliwakamata pabaya sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Is this BRTπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usipende kujianisha kwa vitu vidogo mkubali kua hamuna BRT na hamuna ndoto hio leo wala keshoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…