Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,339
- 107,983
Pia na hizi hazitajwiVitu amabavyo hamutaziskia tena zikitajwa humu ๐๐๐๐๐
1.Airport
2. Modern Bus stages and modern bus
3. General marine sector
4. Health care genaral
5. Footbal stadiums
6. Millionares
7. Airline
8. Super bridges
9. SGR
etc mutamalizia ๐๐๐๐
Kwn ikiwa paved lazima ikuwe kuwe na vidaleta recent clip with paved road!
HayatuhusuNyanya bwerere msife na njaa majirani
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
Mlichobakiza ni hichi๐๐๐๐๐ ushuzi wa GDPPia na hizi hazitajwi
View attachment 1410281
dah hii battle imekuwa yetu sisi kwa sisi sioni wakenya๐๐๐๐Akikuletea tu nitag๐๐๐
uyole, mbeya.. majiran msiwe na wasiwasi kuhusu chakula
View attachment 1410287
Mtakuja tu kununua huko kwenu njaa haikwepeki milele na milele!
mbona haifunguki?Luxury homes in mwanza ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
kdf vibaka....Tunaijua kenya sisi, kumbe watupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafikiria kdf wanaeza ingilia ishu km hzo kw sasa..
Gsu wanatosha, labda lockdown pengine
Sent using Jamii Forums mobile app
haifunguki mkuuLuxury homes in mwanza [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hapo kwenye #Akilizahandshake#Nyanya bwerere msife na njaa majirani
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala