Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona yamekushinda ichoboy, ulale salama mr. Muongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkikamatwa kwenye ukweli munakasirika na siku utapata suburb ya kushindana na mwanza ww nitag mm nakusubiri toka juzi mbona nawasubiria πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti mombasa yote imepakwa white and blue unaona watu wajinga humu ndani
 
So usidanganye hapa kwamba mombasa yote imepkwa white and blue πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… yani musidanganye wakat mm nipo never ever wataftie wenzako suburb πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ”« πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ’‰ πŸ’‰ hapa dawa imeingia vizuri
Jana umeshindwa kuja kumsaidia mwenzako katoka povu mwisho kufaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anatafuta suburb kwenye takataka
 
Kwani wenye pesa ni watatu,kanyumba kamoja kamoja 2,mwanza 90% ni usawazi,we know it πŸ˜‚ πŸ’‰
Uhehehehehe hzi povu au ndio unazugaπŸ˜‚πŸ˜‚ mwenzako kakutana na kisiki jana hana hamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
LOL this tiny congested slum does not even have outskirts πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Each picture you are dropping are from CBD πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Heheheh uchafu mtupu from CBDπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dalili za kushindwa izo..tunakufahamu vizuri, you're a very bad loser

Hehe ikiwa mwanza your 2nd largest city inapewa kichapo ivo na the very old mombasa old town daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahah unavotamka hayo maneno ni kama vile mombasa kuna new town?πŸ˜‚ ndio hzo estate munatuonesha hapa choo cha mtu ndio chumba cha mtu kinapoanziaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

msaidie mwenzako kuletea suburb maanza mwanza ni kisiki kwa mombasa hamuna hamu Jana kapokea kichapo humu kabakia kulia πŸ˜…πŸ˜…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili za kushindwa izo..tunakufahamu vizuri, you're a very bad loser

Hehe ikiwa mwanza your 2nd largest city inapewa kichapo ivo na the very old mombasa old town daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anaejiamini haongei sana analeta suburb hapa ili ujiite wewe mwanaume sasa msaidie mwenzako jana kahangaika sana mwisho wake kaanza kuleta na uchafu humu ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona unataka kuusafisha uongo wako, hahahaa!!utadanganya watu wa tandale wala sio mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…