Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ndio maana huwa wakienda kwenye nchi za wenyewe halafu wakiambiwa wafuate sheria za nchi husika wanaona kama wanaonewa.
ni wapi road accidents hazifanyika hii dunia? Akili za kibongo jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…