Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Imekuuma kweli. Endelea kutupostia saa sasa. Anyway, next time you are in Nairobi nitafute. Niko Syokimau along Katani Road ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
yanu umenichekesha sana leo ukaamua kuokota picha ili ulipe kisasi, ww huwez nishtua hata ukucha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani siku ya leo umenifurahisha sana
 
yanu umenichekesha sana leo ukaamua kuokota picha ili ulipe kisasi, ww huwez nishtua hata ukucha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani siku ya leo umenifurahisha sana
Nafurahi sana nikiona unaumia hivyo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Now see my current location.

Google Golden Square Syokimau
 
Umekaa gatekeeper wacha mbwembwe rudi getini!
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Mngejua tu vile nafurahi mnavyokasirika! Inawauma kweli! Poleni lakini. Kwa hivyo Ichoboy pia ni dereva ameandikwa wa ile gari anapost hapa?
 
Nafurahi sana nikiona unaumia hivyo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Now see my current location.
View attachment 1448522
Google Golden Square Syokimau
hahahaha naona leo unajitetea sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ yani niumie kwa picha za kuokota ama tafuta namna yakutuaminisha with vivid evidence ukipata nitag๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Umekaa gatekeeper wacha mbwembwe rudi getini!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hzo pichaa kaamua kuokota ili alipize kisasi maana wameumia sana kuona picha zangu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ yani itawanyima usingizi wiki nzima
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Mngejua tu vile nafurahi mnavyokasirika! Inawauma kweli! Poleni lakini. Kwa hivyo Ichoboy pia ni dereva ameandikwa wa ile gari anapost hapa?
ahahahaha ww huwezani na mm yani hata usijaribu kushindana na mm kabisa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ so ile gari imekuuma sana ndio ukaamua ukaokote picha ili ujipe matumaini hapa yani nilijua lazma kati yenu mmoja ajiripue

kama ile inakutoa roho sana chukua hii basi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


 
From the pictures, this is one of them โ€œgated communitiesโ€ sasa did you build that house/ are you paying a mortgage? Halafu btw your houses are ugly af. Whatโ€™s with the colours? Is that a childrenโ€™s day care center or something?
 

Zoom Shati shingoni kwenye collar na kwenye Vifungo[emoji23].


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yn leo ndiyo umetoa boko la mwaka, unaaminisha watu kwmb asset ni yako kisa umekaa karibu nayo [emoji3][emoji3][emoji3] btw leo ndiyo nimeamini here is you na hapo upo kwenye mjengo wako mwngne [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ