Battle: Dodoma VS Mombasa

Battle: Dodoma VS Mombasa

Bemendazole

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
2,649
Reaction score
6,680
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mombasa kipo hakipo Dodoma na kipo Dodoma hakipo Mombasa.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mombasa wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Back
Top Bottom