Hio ndio lapset ππππππ nilifkiri imeshaisha kumbe bado munaimba tu
Indeed this is an UPSET. I will contact oxford to put this project as an example when defining the word UPSET in their new edition of Oxford dictionary.Nimejua inakuuma lakini usijali. Umeitisha lapset ukapataLamu port.View attachment 1057444View attachment 1057445View attachment 1057446View attachment 1057447View attachment 1057448
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaleta habari fake hapa πππππ
Wewe na makamasi yako tuonyeshe Bagamoyo yenu tucheke maana ilianza 10 years earlier than LAPSSET
mwambie hyo...na wanataka tujenge vituo vya kisasa vijijini...hajui km hko pugu na soga kunaishi washamba...hatutaki vituo vyetu viwe vivutio kwa hao jama km ile mall ya mwanza wasukuma huenda outing kuitembelea...Wasiwasi wako ni nn kuhusu bagamoyo wakat tanzania ina port 5 na zote ziko under expansioπππππ
So wewe ulitaka tujenge kituo cha 1m passengeres pugu wakat kuna 200k passengers au unafkiri sisi tunapoteza pesa za tax payers ovyo tu, subiri uone station ya dar , dom na morogoro ndio utafahamu maana ya the modern electric bullet trainmwambie hyo...na wanataka tujenge vituo vya kisasa vijijini...hajui km hko pugu na soga kunaishi washamba...hatutaki vituo vyetu viwe vivutio kwa hao jama km ile mall ya mwanza wasukuma huenda outing kuitembelea...
yetu ni bullet train bwana...tutajenga station moja kali dar kw wanaojielewa wala sio soga na pugu kw washamba
nyangau sasa tunawapita kama wamesimama40yrs ago we were fighting against Idd Amin and whites in Southern Africa, we were under western sanctions due to our involvement in liberation movements, you were given all economic support from US and Europe and you had no war to fight apart from tribalism and corruption.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hukuwa umejua Bagamoyo ita angukia puaπππ Wacha hata Mimi nitafute kwa kamusi maana yake BWAGAMOYO.Indeed this is an UPSET. I will contact oxford to put this project as an example when defining the word UPSET in their new edition of Oxford dictionary.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sasa mbona South Africa haiwasaidii baada ya kuikukomboa? Si unaona ujinga/ubongolala wenu, mbona mnatumia kichwa Kama mfuko wa kubebea meno?40yrs ago we were fighting against Idd Amin and whites in Southern Africa, we were under western sanctions due to our involvement in liberation movements, you were given all economic support from US and Europe and you had no war to fight apart from tribalism and corruption.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona South Africa haiwasaidii baada ya kuikukomboa? Si unaona ujinga/ubongolala wenu, mbona mnatumia kichwa Kama mfuko wa kubebea meno?
Sasa unakaka kutudanganya Nchi zote LDC ni zile zilipigania Uhuru wa Afrika?? Nyerere, CCM na ujamaa ndio sababu kuu Tz kuwa Nchi masikini na ya Kishamba.