BATTLE!..Humble African Vs CCNP Engineer.

Uzur adui ake hana habari kabsa na yeye.
Mtu mwelevu hawezi kuwa na sifa za kijinga, jamaa anajua ndio maana hata hana time nae ila yeye ndio anamwandama. Ndio maana nikasema kama kweli hiyo elimu anayo atakua aliipata kwa bahati mbaya na ukute haimsaidii lolote zaidi ya misifa ya hapa JF tu.
 
Mm iliamini tu kua ni chake as long as hainipunguzii wala kuongeza kitu yy ndo anajua ukweli. Naweza amini ww ni me kumbe ke
Hahahaha haya mpiga kura ngoja tuendelee na mtanange.
 
CCNP Engineer unamzungumziaje Humble African performance yake humu jamvini ukiacha taaluma zenu za shule na visomo,hapa namaanisha michango yenu humu ktk majukwaa mbalimbali
Sema na wewe jamaa mfitini bado umekomaa kufitinisha wakati Humble African yupo ibadani sasa hivi...

Namuelewa sana Humble African jamaa ana 'exposure' sana na vitu vingi japo sijasoma nyuzi zake nyingi.
 
Kura yangu nitapiga waki_Screen Shot Salio linalosoma kwenye Simu Banking kwa USSD *150*XX# hiyo XX inategemea na BANK gani.....Hiyo Screen Shot ionyeshe Juu mda unaoendana na post yake eg Post nayoweka ni ya saa 2:01 PM kwahiyo hiyo simu banking screen shot ionyeshe labda 13:58 au 13:59
 
Sema na wewe jamaa mfitini bado umekomaa kufitinisha wakati Humble African yupo ibadani sasa hivi...

Namuelewa sana Humble African jamaa ana 'exposure' sana na vitu vingi japo sijasoma nyuzi zake nyingi.
Sikuiona coute yako mkuu,mi sio mfitishaji mkuu mi ni promota coz kwa yanayoendelea kati ya hawa jamaa nadhani hii ndo njia sahihi maana haiwezekani wachafue nyuzi za watu bora niwaandalie ulingo wao hapa wajimwage.Kama hujaona pitia baadhi ya post za leo za wahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…