Mkuu hujawatoa out tu mpk Leo??@Beef lasagna na wenzako leo mmenifurahisha sana na mmedhihirisha wanawake ni jeshi kubwa sana. I promise kuna siku nitawatoa out for good vacation tupate Bonge moja la supper tukifurahi na Ku enjoy pamoja.
One day! I really wish hii.
Samahan mkuu jina lake lingine unaitwa 'amu'??Hutaki huamini labda niambie umeguna nini
Na kweli mungu anamuona kwa kweli,,,maan sio kwa msoto ule wa physi. saiz shule imeisha maisha yameanza ndo utata ulipo dadeki.Kama uliyasoma na ukafaulu sina neno na wewe(respect kwako)..
Lkn kama uliambiwa basi mwambie aliekwambia Mungu anamuona
Kwan icho cheti ni tofaut na kile wanachotoa erb?Sio sahihi kuhitimisha kuwa Humble African anamzidi Engeneer kiuchumi. Utajiri hua unapimwa kwa Net Asset yaani Asset-Liability. Sasa huyo Humble ameonyesha Cash, hajaonyesha upande WA pili WA liabilities (Madeni). By the way, tukubaliane CCNP anahazina kubwa kichwani, kupata cheti cha CCNP ENGENEER sio mchezo. Tatizo la Engeneer ni kukosa maadili, BASI!!!
Ha ha ha braza kumbe mpinzani wako akiangusha round ya kwanza tena kwa k.o unafungua shampeni?Humble Abalansi vipi wakati anaeshindana nae kaonyeshwa milioni tano tu na mkebe katoka mbio hadi leo ajaonekana. Ah ah aha ah ah
Mimi alinifurahisha sana injinia alivokuwa anatamba kabla ya humble kutimba kuanzia page ya 1 hadi ya 11 alitamba sana then ya 12 hadi 77 hajaonekana hata kwa bahati mbaya. Ah ah ah ah ah
Injinia alishanitukanaga sana sasa na Mimi nilikuwa nakimbiza mwizi kimya kimya... Kuadhirika kwake Mimi ni kicheko hadi gego la mwisho. Ah ah ah ah
NdiyoSamahan mkuu jina lake lingine unaitwa 'amu'??
Mkuu body building unakosaje kazi aise[emoji3][emoji3][emoji3]Mi hua najisemea kua nakesha sana jf kwakua sina kazi. Na wenzangu ni hivyo hivyo?
Nipe kazi nikulinde ukiwa unatukana mashabiki wa manure
Hawa wahuni nahisi washapata ajira maana si kwa ukimya huu..........Amani ya mola iwe juu yenu nyoote.
Ni jumapili tulivu kabisa yenye kila dalili ya kuwa siku njema na hali ya hewa ya kupendeza.
Nawakaribisha kwenye mchuano huu mkali wa hoja na kunadi Sera zao hawa washindani wetu wawili a.k.a Mafahari wawili "Humble African " VS " CCNP Engineer ".
Watajwa hapo juu ni watu wenye upinzani mkali usio mfano ila Leo nadhani itabidi tumpate mshindi kutokana na Hoja zao binafsi na pia hata nyie watazamaji mtaruhusiwa kuchangia na kupiga kura yako kwa yule ambaye unahisi labda kama ingekuwa tunamchagua kuwa muwakilishi/Kiongozi wetu humu Jamvini ungempa KURA YAKO NANI??
Vigezo na masharti ya mchuano;
--Kuchafuana ili kuteka kura za wapiga kura RUKSA
--Unaruhusiwa kutumia data mbalimbali za wahusika kuwakosoa au kuwaunga mkono katika mtanange huu.
--POVU ruksa
--Wapiga kura mnaruhusiwa kutafuta upande wa kuunga mkono kati ya Humble African na CCNP Engineer .
Tafadhali naomba ifahamike kuwa hapa leo ndio uwanja wenu wapinzani wetu hivyo kila mmoja autumie kadri anavyoweza kutoa Hoja zake na sio kwenda kuchafua nyuzi za watu kumsema mtu mwingine.
HUU NDO UZI WENU MAALUMU KWA AJILI YA MPAMBANO WENU.
NB; Matokeo yatajumlishwa Automatically kwa EFD machine na Risiti atapewa mshindi.
Naomba sasa niwaite ulingoni MAFAHARI wetu tayari kwa mapambano.
Humble African
CCNP Engineer
Watazamaji nanyi karibuni sana mapambano ndo unaenda kuanza.